Jumamosi Oktoba 17 uwanja wa Azam Complex, Yanga itakuwa ugenini kuikabili CFFA ya Madagascar katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).
Mchezo huo unapigwa jijini Dar es salaam kwa maelekezo ya CAF baada ya CFFA kukosa uwanja unaokidhi vigezo kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na CAF.
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao licha ya kuwa ugenini, wamekabidhiwa jukumu la kusimamia maandalizi yake.

ADVERTISE HERE