Wabelgiji wakomaa na Emanuel Martin

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jun 2018
Wabelgiji wakomaa na Emanuel Martin
Kuna taarifa kuwa klabu ya Waasland Beveren inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji inamuhitaji winga wa Yanga Emanuel Martin kwa ajili ya kufanya majaribio.

Martin amekiri kuwasiliana na wawakilishi wa timu hiyo na kuwaelekeza wawasiliane na uongozi wa Yanga.

Kama winga huyo atafanikiwa kutimkia Ubelgiji, atakuwa mchezaji wa pili kutoka Tanzania kucheza ligi kuu ya nchi hiyo akiungana na Mbwana Samatta anayekipiga KRC Genk.

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amekiri kuwa wapo wachezaji wanatakiwa kwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’