Mepama leo, mabondia kutoka Mafia Boxing Promotion Ibrahim Mafia, Salmin Kassim, Kalolo Amir na Abdulrahman Magoma walitembelea kambi ya Yanga Avic Town na kuonesha mikanda yao ya Ubingwa waliyoshinda kwenye mapambano yao ya Kimataifa hivi karibuni.
Mabosi hao ni wote Wananchi..!








ADVERTISE HERE