Yanga Princess imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii baada ya ushindi dhidi ya Mashujaa Queens.
Mchezo huo uliopigwa mapema, ulimalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 na hivyo mikwaju ya penati kuamua mshindi.
Yanga Princess ilipata penati 5-4 dhidi ya Mashujaa Queens.
