Yanga iko mbioni kuweka hadharani kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kitakachoshiriki ligi pamoja na michuano ya kombe la FA (ASFC).
Licha ya ongezeko la sura mpya, idadi kubwa ya wachezaji walioitumikia Yanga msimu uliopita wataendelea kubaki Jangwani kwa msimu mwingine.
Jambo pekee ambalo litatokea huenda baadhi ya wachezaji hao wakatolewa kwa mkopo timu nyingine ili kulinda viwango vyao.
Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amesema mambo yote yatawekwa hadharani baada ya kurejea kwa Kocha Mkuu Mwinyi Zahera ambaye yuko mapumziko nchini Ufaransa.
Zahera anatarajiwa kuwasaili keshokutwa Jumamosi, Juni 25 2018.
Je ukikiangalia kikosi cha Yanga kilichomaliza msimu nafasi ya tatu ni wachezaji gani wanastahili kutolewa kwa mkopo msimu ujao?

ADVERTISE HERE