Mpya

Gaborone United 1-1 Yanga, CAFCL PR1 (FT)

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5d ago
Gaborone United 1-1 Yanga, CAFCL PR1 (FT)

Yanga imepata matokeo muhimu ugenini ikiilazimisha Gaborone United sare ya bao 1-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika.

Alikuwa ni Seleman Mwalimu 'Gomez' aliyefunga bao muhimu ugenini dakika za jiooooni akimalizia pasi ya kisigino kutoka kwa Mudathir Yahya.

Yanga ilitawala mchezo huo kwa muda mwingi huku Gaborone United wakicheza kwa kujihami zaidi 'walipaki basi'.

Gaborone walifunga bao lao kwenye kipindi cha kwanza kupitia mpira wa adhabu nje kidogo ya 18 likifungwa na Obry Amseb.

Kwa ujumla zilikuwa dakika 90 zilizotawaliwa na Yanga pengine changamoto kubwa ilikuwa kuvunja ukuta wa Gaborone ambao walijilinda na wachezaji 10.

Hata hivyo dakika za lala salama walipoteza umakini pasi mpenyezo kutoka kwa Maxi Nzengeli ikutua mguuni kwa Mudathir aliyetoa pasi ya kisigino kwa Mwalimu.

Yanga sasa ina dakika 90 nyumbani kusaka matokeo muhimu ili kufuzu raundi ya kwanza ikiwa na faida ya bao la ugenini.

More Stories

Toure anajiamini, atafunga sana
Toure anajiamini, atafunga sana
3h ago
READ MORE β†’
Manqoba aondoka na tuzo ya ligi kuu August
Manqoba aondoka na tuzo ya ligi kuu August
6h ago
READ MORE β†’
Mwalimu awaalika Wananchi SELE DAY
Mwalimu awaalika Wananchi SELE DAY
6h ago
READ MORE β†’
Hatutawadharau Gaborone United - Manqoba
Hatutawadharau Gaborone United - Manqoba
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki apunguziwa presha Yanga
Aziz Ki apunguziwa presha Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Sele Day tiketi zinaelekea ukingoni
Sele Day tiketi zinaelekea ukingoni
10h ago
READ MORE β†’
Manqoba na ndoto ya fainali ligi ya mabingwa
Manqoba na ndoto ya fainali ligi ya mabingwa
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
13h ago
READ MORE β†’
Pacome aongoza hamasa KMC Complex
Pacome aongoza hamasa KMC Complex
1d ago
READ MORE β†’
Media Day; Manqoba, Kamwe wafunguka mipango ya kuikabili Gaborone United
Media Day; Manqoba, Kamwe wafunguka mipango ya kuikabili Gaborone United
1d ago
READ MORE β†’