Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Miguel Gamondi amewajumuisha wachezaji saba wa Yanga kwenye kikosi chake cha awali kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2027 dhidi ya Guinea Bissau na Madagascar pamoja na mchezo wa kirafiki dhidi ya Ghana.
Nyota wa Yanga waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni mlinda lango Hussein Masalanga, mabeki Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mohammed Hussein na Mohamed Mussa.
Pia wamo kiungo Mudathir Yahya na mshambuliaji Seleman Mwalimu 'Gomez'

ADVERTISE HERE