Uzi wa Kimataifa umetambulishwa na Fabrizio Romano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Sep 2026
Uzi wa Kimataifa umetambulishwa na Fabrizio Romano

Yanga imetambulisha jezi zake zitakazotumika kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa msimu huu 2026/27 kwa staili ya aina yake

Uzinduzi rasmi umefanywa na Fabrizio Romano, mwanahabari maarufu dunia anayesifika kwa kufichua habari za usajili.

Jezi hizo zitaanza kupatikana Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam Septemba 03 kwa bei ya rejareja ya Tsh 45,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’