Msimu huu kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Yanga itatumia jezi maalum kwa ajili ya michuano hiyo tangu hatua ya awali.
Kwa misimu iliyopita jezi hizo zilianza kutumika kuanzia hatua ya makundi lakini wakati huu mambo ni tofauti.
Unaweza kusema ni suala la muda jezi hizo zitazinduliwa na zitaanza kutumika siku ya Jumamosi kwenye mchezo dhidi ya Gaborone United.

ADVERTISE HERE