Kikosi cha Yanga kimewasili salama Afrika Kusini wakiwa safarini kuelekea Botswana wanakokabiliwa na mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Gaborone United utakaopigwa Jumamosi, Septemba 05.
Wananchi watakuwa na mapumziko mafupi Afrika Kusini kabla ya kuunganisha safari kuelekea Gaborone.
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya leo Jumatano.



ADVERTISE HERE