Felly Mulumba, moja ya mashine zinazotarajiwa kutua Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2018
Felly Mulumba, moja ya mashine zinazotarajiwa kutua Yanga
Mcongo Felly Mulumba Tshiyoyo anayekipiga katika klabu ya Bandari ya Kenya ni miongoni mwa wachezaji ambao huenda wakatua Yanga siku chache zijazo.

Mulumba ana uwezo wa kucheza nafasi zote za ulinzi pia kiungo mkabaji. Ni miongoni mwa wachezaji waliopendekezwa na kocha wa Yanga Mwinyi Zahera.

Alijiunga na Bandari FC mwaka 2016 akitokea klabu ya Sofapaka aliyoitumikia tangu mwaka 2012.

Alizaliwa huko DR Congo June 03, 1990 sasa akiwa ametimiza umri wa miaka 28. Kabla ya kuhamia nchini Kenya, Mulumba amewahi kuitumikia klabu ya AS Saint Luc ya DR Congo.

Yanga imekuwa ikifanya usajili wake wa usiri mkubwa ili kuepuka hujuma ambazo uongozi wa timu hiyo umedai kufanywa na timu pinzani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’