Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki leo amejumuika na wachezaji wengine katika maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Alhamisi, August 20 katika uwanja wa KMC Complex.
Ndio! Aziz Ki is baaack, hakuhitaji muda mrefu kuungana na wachezaji wenzake kwenye maandalizi kama ilivyokuwa kwa Suleiman Mwalimu.
Habari njema ni kuwa Aziz Ki amekuwa akijifua na kikosi cha Yanga wakati mchakato wa usajili wake ukiendelea kukamilishwa.
Wananchi huenda wakamshuhudia rasmi akirejea kikosini siku ya Alhamisi sambamba na Mwalimu


ADVERTISE HERE