Baada ya kutua Ruangwa jana, kikosi cha Yanga leo kimeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, August 15 katika uwanja wa Majaliwa.

ADVERTISE HERE