Mashabiki wa Yanga ndio watu wenye furaha zaidi nchini baada ya usiku wa kuamkia leo wakiishuhudia timu yao ikitwaa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani zao Simba katika mchezo uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Ilikuwa siku ya kipekee kwa nyota wapya wa Yanga pamoja na benchi la ufundi wakitwaa taji lao la kwanza msimu huu.










ADVERTISE HERE