Mshambuliaji mpya wa Yanga Suleiman Mwalimu hana muda wa kupoteza kwani baada ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Yanga, leo ameanza rasmi kujifua na wachezaji wenzake.
Mwalimu anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoshuka pale uwanja wa New Amaan Complex hapo kesho kuikabili Simba, waajiri wake wa zamani ambao jana jioni alifanya nao mazoezi!







ADVERTISE HERE