Kituo kinachofuata ni Ngao ya Jamii Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2026
Kituo kinachofuata ni Ngao ya Jamii Zanzibar

Kikosi cha Yanga leo kinatarajiwa kuelekea visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba.

Mchezo huo utapigwa Jumatano, August 12 uwanja wa New Amaan Complex.

Baada ya kuhitimisha Yanga Day hapo jana, hakuna muda wa kupumzika kwa kocha Manqoba Mngqithi na vijana wake kwani wana siku mbili tu kuelekea mtanange huo mkubwa Yanga ikilenga kutetea Ngao ya Jamii kwa msimu mwingne.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’