Nadir 'amfagilia' Ngassa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2018
Nadir 'amfagilia' Ngassa Yanga
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema anatamani kuona mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo Mrisho Ngassa arudi kundini.

Cannavaro alisema amemfuatilia Ngassa katika michezo yake mitatu ya ligi pamoja na mechi ya hisani ya kuchangia elimu ulioandaliwa na mshambuliaji wa kimataifa Mbwana Samata amegundua bado anauwezo wa kuisaidia timu.

Alisema Ngassa ni mchezaji mzuri na amefanya mambo mengi mazuri katika klabu ya Yanga hivyo naamini endapo viongozi watafanya kweli kumrudisha ataweza kuisaidia timu kwani bado anauwezo wa kucheza na kufanya vizuri.

"Ngassa pamoja na kushindwa kuonyesha uwezo katika timu alizoenda kucheza mimi bado naamini ni bora kwasababu anakipaji na ameshindwa kufanya vyema kutokana na kukutana na wachezaji ambao hawaendani na kasi yake," alisema Cannavaro.

Imekuwa ikielezwa tayari uongozi wa Yanga umemalizana na mshambuliaji huyo. Bado Yanga haijaweka hadharani usajili wake tukio hilo likitarajiwa kufanywa hivi karibuni baada ya wachezaji ambao wako likizo kurejea kambini

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’