Mshambuliaji wa Yanga Peter Shalulile ni miongoni mwa wachezaji wa mabingwa hao wa nchi wanaojiandaa na Tamasha kubwa la Burudani Yanga Day ambalo litafanyika kesho Jumapili uwanja wa Uhuru.
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Shalulile na nyota wengine wapya kushiriki Tamasha hili la kukaribisha msimu mpya wa mashindano.



ADVERTISE HERE