Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa August 12 katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

ADVERTISE HERE