Yanga yatambua mchango wa Dk Nchemba Bodi ya Wadhamini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2026
Yanga yatambua mchango wa Dk Nchemba Bodi ya Wadhamini

Mapema leo, Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alimkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Cheti cha Shukrani kwa kutambua mchango wake mkubwa alioutoa wakati akihudumu nafasi ya Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga.

Injinia Hersi alimpongeza na kumtakia kila la kheri, Mhe. Mwigulu katika majukumu yake mapya ya kulitumikia Taifa.

Rais wa Yanga pia alimkabidhi Mhe. Mwigulu jezi rasmi za Msimu mpya wa 2026/27 na kutumia fursa hiyo kumkaribisha rasmi kwenye YANGA DAY itakayofanyika siku ya Jumapili, uwanja wa Uhuru, Jijini Dar Es Salaam.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’