Wananchi wameendelea kununua tiketi kwa kasi kubwa kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day) litakalofanyika siku ya Jumapili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Mpaka sasa tiketi za Royal na VIP zimemalizika huku zikisalia tiketi chache za Mzunguuko. Ni wazi Wananchi leo watafunga zoezi la mauzo ya tiketi..

ADVERTISE HERE