Leo ilikuwa siku ya kipekee kwa wakazi wa Ushirombo, Bukombe wakiujaza uwanja wa Bukombe katika uzinduzi wa uwanja huo uliopambwa na ujio wa kikosi cha Yanga.
Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara walipata nafasi ya kufanya mazoezi katika uwanja huo wa kisasa.









ADVERTISE HERE