Kikosi cha Yanga leo kimecheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Kigamboni United(B-19) inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) na kuibuka na ushindi wa mabao 7-0.
Mabao ya Yanga yalifungwa na Erick Mwijage (Assist Mihambo), Chekh Toure (PEN), Chekh Toure (Assist Zimbwe), Kazimoto, Kazimoto( Assist Zakuoani), Zakuoani ( Assist Toure) na Maxi (assist Boka)
Ni mchezo wa pili wa kujipima kwa Yanga baada ya hapo jana kucheza mechi nyingine dhidi ya Magereza Fc na kuibuka na ushindi wa mabao 7-2.



ADVERTISE HERE