BBD anarejea taratibu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2026
BBD anarejea taratibu

Beki wa kati na nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job 'BBD' anazidi kuimarika katika program ya recovery anayoendelea nayo.

Job amekosekana uwanjani kwa takribani miezi minne, baada ya kupona majeraha sasa ameanza mazoezi ya 'fitness'. Ni hatua muhimu kuelekea kurejea kwenye majukumu yake.

Job pamoja na mshambuliaji Clement Mzize ambao wote walikuwa nje kwa muda mrefu, wamejumuishwa kwenye program za mazoezi katika pre-season inayoendelea Avic Town ingawa Mzize huenda akawahi zaidi kurejea kikosini.

Mzize ameanza kushiriki mazoezi ya timu baada ya kuonyesha kuimarika haraka ingawa kulingana na Meneja wa Habari na Mawasiliano Ali Kamwe, bado atahitaji wiki kadhaa kuimarisha fitness yake kabla ya kuanza rasmi 'kukiwasha' kwenye mechi za ushindani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’