Yanga imetambulisha usajili wa winga Erick Mwijage kutoka klabu ya KMC.
Nyota huyo ametua Yanga kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na wakusanya ushuru wa Manispaa ya Kinondoni ambao hata hivyo wameshuka daraja.
Ni sajili nyingine ya kimkakati iliyofanywa na mabingwa hao wa soka Tanzania Bara.
Mwijage amesajiliwa kuongeza ubora eneo la washambuliaji wa pembeni.
ADVERTISE HERE