Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amemkaribisha kocha mkuu wa timu hiyo manqoba Mngqithi na benchi lake la ufundi.
Manqoba sasa ana wiki tatu za kukiandaa kikosi cha mabingwa hao wa soka Tanzania Bara kabla ya kuanza mikiki mikiki ya mashindano 2026/27.
Mchezo wa kwanza wa mashindano ni Ngao ya Jamii dhidi ya Simba utakaopigwa Agosti 12 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.











ADVERTISE HERE