Utatu kutoka Mashujaa Fc umekamilika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2026
Utatu kutoka Mashujaa Fc umekamilika

Yanga imetambulisha usajili wa beki wa kati Mohamed Mussa kutoka klabu ya Mashujaa Fc.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/2027.

Mussa amechagua kujiunga na Yanga na kuzitosa ofa kutoka klabu zingine kubwa ikiwemo Azam FC.

Anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili kutoka Mashujaa FC akiungana na mshambuliaji Hussein Mihambo na mlinzi wa pembeni Gamal ambao tayari wametambulishwa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’