Tambwe atarejea imara, muda utazungumza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2018
Tambwe atarejea imara, muda utazungumza
Rekodi ya mabao 21 aliyofunga Amissi Tambwe msimu 2015/16 imemshinda mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ambaye amefunga mabao 20 msimu uliomalizika na kuibuka kuwa mfungaji bora wa VPL.

Rekodi hiyo pia inambakisha Tambwe kileleni kuwa mfungaji bora wa ligi ya Tanzania Bara katika kipindi cha miaka 14 iliyopita. Tangu mwaka 2004, hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi ya Tambwe kwenye ligi.

Katika kipindi cha misimu mitano Tambwe amefunga jumla ya mabao 65 rekodi inayomfanya awe mshambuliaji wa kipekee.

Idadi ya mabao aliyofunga katika misimu hiyo;

Msimu wa 2013/14, mabao 19 (akiwa Simba)
Msimu wa 2014/15, mabao 14 (akiwa Yanga)
Msimu wa 2015/16, mabao 21 (akiwa Yanga)
Msimu wa 2016/17, mabao 11 (akiwa Yanga)

Msimu uliomalizika haukuwa mzuri kwake sababu kubwa ikiwa ni majeruhi yaliyomuandama.

Lakini sasa amepona majeraha yake na aliweza kurejea kwenye kikosi cha Yanga kikamilifu wakati msimu unaelekea ukingoni.

Wakati huu wachezaji wakiwa likizo, Tambwe amekuwa akijifua kuhakikisha anarejea akiwa imara.

Tambwe alizaliwa October 24, 1988, sasa akiwa na umri wa miaka 29, bado ana nafasi ya kuendeleza rekodi yake ya kupachika mabao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’