Yanga nje Uhai Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2018
Yanga nje Uhai Cup
Vijana wa Yanga wametolewa kwenye mashindano ya Uhai yanayofanyika mkoani Dodoma baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mbeya City.

Yanga ilihitaji kushinda mchezo huo ili iweze kufuzu robo fainali lakini sare imemaliza safari yao kwenye hatua ya makundi.

Yanga imefikisha alama tatu baada ya kutoka sare michezo yote na imemaliza nafasi ya tatu nyuma ya Ruvu Shooting na Mbao FC ambazo zilikuwa na alama nne kila moja kabla ya mchezo baina yao uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’