Mfanyabiashara Yusuph Manji anasubiriwa kwa hamu kutoa kauli yake baada ya kuwasilishiwa maamuzi ya Wanachama wa klabu ya Yanga kukataa ombi lake la kujiuzulu.
Katika Mkutano Mkuu uliofanyia Jumapili iliyopita, Juni 10 kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi, Masaki jijini Dar es salaam, Wanachama walimrejesha Manji kwenye nafasi yake ya Uwenyekiti.
Manji tayari amepokea taarifa ya Maazimio hayo na sasa anasubiriwa atoe kauli yake.
Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kwani mambo mazuri yanakuja.

ADVERTISE HERE