Mabingwa wa kihistoria wa soka la Tanzania, Yanga leo asubuhi wameendelea na mazoezi Highlands Park mkoani Morogoro.
Wachezaji wote wamefanya mazoezi isipokuwa Obrey Chirwa na Geofrey Mwashiuya wanaosumbuliwa na matatizo ya misuli.

Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kwanza rasmi wa kirafiki dhidi ya Singida United keshokutwa, Jumamosi.

Katika mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa, mashabiki wa Yanga watakuwa na nafasi ya kuwaona wachezaji wapya.

ADVERTISE HERE