Rais wa Yanga Injinia Hersi Said na Makamu wa Rais Arafat Haji ni miongoni mwa wagombea waliopitishwa kwenye mchujo wa awali kuelekea uchaguzi mkuu wa Yanga.
Hersi anatetea kiti chake cha Rais bila ya mpinzani huku Aafat nae akitetea kiti chake cha Makamu wa Rais bila ya mpinzani.

ADVERTISE HERE