Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji ni leo amechukua fomu ili kutetea nafasi yake kwenye uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi August.
Baada ya miaka minne ya mafanikio katika uongozi wake na Rais Injinia Hersi Said, anarejea tena kwa Wananchi kuomba ridhaa ya kipindi kingine cha miaka minne.


ADVERTISE HERE