Keshokutwa Jumanne Yanga itashuka uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya 30 kuhitimisha msimu wa ligi kuu ya NBC 2025/26.
Ni mchezo ambao Yanga inahitaji ushindi ili kujihakikishia ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali kamwe ameitangaza siku hii kama Okello Day akiwataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Isamuhyo kuipa sapoti timu yao katika mchezo huo wa kuamua ubingwa.
Kwa mambo ambayo Okello amefanya kwa muda mfupi aliowatumikia Wananchi, mchezo huo umepewa heshima yake.
Tukutana Isamuhyo mapemaaaa...
ADVERTISE HERE