"Adui hutumia nguvu kuliko akili. Usishindane nae, mpuuze halafu songa mbele huku ukimtumainia Allah pekee..!"
Huo ni ujumbe murua wa mlinzi wa kulia wa Yanga Juma Abdul akiwapa mashabiki wa Yanga.
Upande ule una kelele nyingi sana hasa 'mropokaji' wa timu yao.
Eti waruhusiwe kucheza tisa! Jamani jamani hawa watu, subirini iyo Agosti 23, tutawaumbua pale uwanja wa Taifa na litimu lao lililojaa wahenga.

ADVERTISE HERE