Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye ni Mwenyekiti wa umoja wa vilabu barani Afrika jana alikuwa Kenya akiitikia mwaliko kuhudhuria mchezo wa fainali kombe la Mozzart kati ya Tusker Fc dhidi ya FC Kenya Polisi.
Katika mchezo huo Hersi alipata nafasi ya kumshuhudia 'mbashara' mshambuliaji Yves Koutiama wa Polisi Kenya Fc.
Koutiama raia wa Burkina Faso inaelezwa tayari ni Mwananchi..




ADVERTISE HERE