Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga sasa utapigwa Alhamisi Juni 18 uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na TPLB mapema leo, mtanange huo wa raundi ya 27 utapigwa saa 10 jioni.

ADVERTISE HERE