Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation leo umetembelea watoto wenye mahitaji maalum wanaolelewa katika Kituo cha Sanganigwa B kilichopo mjini Kigoma, na kuwapatia mahitaji mbalimbali.
Huu ni sehemu ya utaratibu unaofanywa na Yanga na GSM kuelekea mechi mbalimbali.
Baadae leo Yanga itashuka uwanja wa Lake Tanganyika kumenyana na Mashujaa FC.








ADVERTISE HERE