Nabi aibukia Raja CA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2026
Nabi aibukia Raja CA

Kocha Nasreddine Nabi amejiunga rasmi na klabu ya Raja CA akichukua nafasi ya Fadlu Davids kocha wa zamani wa Simba aliyefutwa kazi na timu hiyo.

Baada ya mafanikio makubwa aliyopata akiwa na Yanga, Nabi ameendelea kuaminiwa hii ikiwa klabu ya tatu kujiunga nayo tangu alipoondoka Yanga.

Nabi pia amezifundisha klabu ya AS FAR na Kaizer Chiefs ambayo aliachana nayo mwanzoni mwa msimu huu kutokana na matatizo ya kifamilia.

Kulikuwa na taarifa kuwa Nabi alikuwa miongoni mwa makocha ambao Yanga iliwaweka katika mipango yake kuchukua nafasi iliyoachwa na Pedro Goncalves.

Bado Yanga inaendelea na msako wa kocha mpya huku kamati husika ikiendelea kupitia CV za makocha wengine.

Kocha mpya wa Yanga atafahamika pale msimu huu utakapomalizika. Kwa sasa uongozi wa Yanga umeweka nguvu katika kumaliza msimu vyema na kutetea mataji mawili yaliyosalia yaani ligi kuu na kombe la CRDB.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’