Kamati ya uchaguzi Yanga hadharani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2026
Kamati ya uchaguzi Yanga hadharani

Kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga imewateua Wajumbe watano watakaoukuwa na jukumu la kusimamia mchakato wa uchaguzi wa Yanga.

Kamati hiyo ya uchaguzi itaongozwa na Adv. Malangwe Mchungahela kama Mwenyekiti na Adv. Samwel Mangesho kuwa Makamu Mwenyekiti.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Adv. Mchungahela ametangaza rasmi kuanza kwa taratibu uchaguzi ngazi ya Matawi kuanzia Juni 13 mpaka Juni 26.

Nafasi zinazowaniwa kwenye Matawi ni Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Mweka Hazina na Wajumbe wawili wa Mkutano Mkuu mmoja akiwa ni Mwanamke.

Baada ya kukamilika kwa michakato ya Matawi, tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu wa Yanga itatangazwa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’