Kikosi cha Yanga tayari kiko mkoani Kigoma kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc utakaopigwa Jumamosi, Juni 13 katika uwanja wa Lake Tangayika.
Mamia ya mashabiki wa Yanga mkoani humo, wamejitokeza kwa wingi kwenye mapokezi ya mabingwa haao wa soka Tanzania Bara.









ADVERTISE HERE