Yanga yaifuata Mashujaa Fc Alfajiri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2026
Yanga yaifuata Mashujaa Fc Alfajiri

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam leo Alfajiri kuelekea mkoani Kigoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.

Wananchi wameuchukulia mchezo huo kwa umuhimu mkubwa wakitua mapema kukamilisha maandalizi.

Mchezo utapigwa Jumamosi, Juni 13 katika uwanja wa Lake Tanganyika.

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’