Kikosi cha Yanga leo kimehitimisha maandalizi yake kabla ya kuelekea mkoani Kigoma wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.
Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kesho Alhamisi kuelekea Kigoma tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi, Juni 13 uwanja wa Lake Tanganyika.





ADVERTISE HERE