Muda wa mechi za nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB umeweka hadharani na TFF.
Kulingana na ratiba, mechi zote zinatarajiwa kupigwa kuanzia saa 9:30 Alasiri.
Utaanza mchezo wa kwanza wa kati ya Simba dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Juni 20 uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Mchezo wa pili kati ya Azam Fc dhidi ya Yanga utapigwa Juni 21 katika muda huo dimba la CCM Kirumba.

ADVERTISE HERE