Yanga yaweka rekodi ya kibabe mechi za nyumbani Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2026
Yanga yaweka rekodi ya kibabe mechi za nyumbani Ligi Kuu

Wakati ligi kuu ya NBC ikielekea ukingoni, Yanga imeendeleza rekodi yake nzuri uwanja wa KMC Complex.

Katika mechi 13 ambazo Yanga imecheza nyumbani mpaka sasa, Wananchi wameshinda mechi 12 na kutoka sare mechi moja.

Mabao 43 yamefungwa huku wakiruhusu mabao matatu tu. Wastani wa kushinda mechi nyumbani ni zaidi ya asilimia 92.

Katika mechi tano zilizobaki, mbili zitapigwa nyumbani na tatu ugenini. Mechi za nyumbani ni dhidi ya Azam Fc na TRA United wakati mechi za ugenini ni dhidi ya Fountain Gate, Mashujaa Fc na JKT Tanzania.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’