Depu alikuwa shujaa mara ya mwisho Lindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 May 2026
Depu alikuwa shujaa mara ya mwisho Lindi

Leo Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa kukamilisha raundi ya 25 ligi kuu ya NBC.

Yanga inahitaji kushinda mchezo huu, hesabu za Wananchi zikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi.

Baada ya mchezo huu kutakuwa na takribani wiki tatu za mapumziko kupisha mechi za kalenda ya FIFA.

Ni wazi matokeo tofauti na ushindi kwa Yanga yanaweza kuwaweka Wananchi kwenye wakati mgumu dhidi ya watani zao Simba na hapa ndipo umuhimu wa mchezo huu unakuja.

Ni mechi ambayo kuna watu wanapambana 'nyuma ya pazia' kuhakikisha Wananchi wanadondosha alama.

Hata hivyo Yanga imejipambanua mara nyingi msimu huu hata katika nyakati ambazo mashambulizi yalikuwa mengi nje ya uwanja.

Mara ya mwisho Yanga na Namungo Fc zilipokutana Ruangwa, Lindi alikuwa ni Laurindo Aurelio 'Depu' aliyewapa furaha Wananchi kwa kufunga bao pekee lililoihakikishia Yanga ushindi wa bao 1-0.

Leo tena mashabiki wa Yanga wana matarajio ya kuiona timu yao ikiondoka na ushindi mnono KMC Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’