Diarra awania tuzo Mali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2026
Diarra awania tuzo Mali

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ametajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Mali kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika.

Diarra anachuana na wachezaji wengine Yoro Diaby (Azam Fc), Aliou Dieng (Al Ahly) na Aboubacar Diakite wa Esperance.

Diarra yuko kwenye nafasi nzuri ya kushinda tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa kwenye kikosi cha Yanga na timu ya Taifa ya Mali.

Aidha 'Mdaka Mishale' pia amejumuishwa kwenye kikosi cha Mali kinachotarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Iran

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’