Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Singida kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa kesho Jumatano, May 13 katika uwanja wa Airtel Mtipa.
Yanga iliweka kambi ya siku moja mkoani Dodoma baada ya kuwasili jana wakitokea jijini Dar es salaam.
Wananchi leo watakuwa na nafasi ya kukamilisha maandalizi ya mwisho kwenye uwanja wa Airtel.






ADVERTISE HERE