Kombe la Dunia 2026 limefika, Xtra 90 itakuletea kila hatua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2026
Kombe la Dunia 2026 limefika, Xtra 90 itakuletea kila hatua

Michuano ya Kombe la Dunia 2026 inatarajiwa kuanza Alhamisi, Juni 11 ikiwa ni moja ya matukio makubwa zaidi ya soka Duniani.

Mashabiki wa soka nchini sasa wana nafasi ya kufuatilia kila hatua kupitia Xtra 90, ambayo inaendelea kutoa mfululizo wa makala kuelekea mashindano hayo.

Kupitia Xtra 90, mashabiki wataweza kupata taarifa zote muhimu kuhusu FIFA World Cup 2026 ikiwa ni pamoja na:

  • Ratiba kamili ya mechi zote
  • Uchambuzi wa kila mchezo kabla ya kuchezwa
  • Tathmini za vikosi na wachezaji
  • Prediction za matokeo ya mechi
  • Habari za moja kwa moja kuelekea kila mchezo

Mfululizo Maalum wa Makala

Kuna mfululizo wa makala zinazolenga kuangazia kila kipengele cha Kombe la Dunia 2026. Makala hizo zinajumuisha historia ya timu, ubora wa wachezaji, pamoja na uchambuzi wa kina wa kila kundi na mechi.

Lengo ni kuwapa mashabiki uelewa mpana kabla na wakati wa mashindano, ili waweze kufurahia kila mchezo wakiwa na taarifa sahihi na za kina.

Ni XTRA 90 pekee, pakua kupitia Play Store au App Store. Humo pia kuna taarifa za kina kuhusu ligi kuu ya NBC, soka la Afrika pamoja na ligi pendwa mbalimbali duniani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
33m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’