Baada ya uongozi kupokea maoni ya Wanachama na Mashabiki wa Yanga ambao wametaka kuchangia ili kulipa faini ya Tsh Milioni 30 ambazo Yanga wamepigwa na Kamati ya Saa 72 ya Bodi ya ligi kufuatia uamuzi wa kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa May 03 dimba la Isamuhyo.
Uongozi umeweka hadharani utaratibu rasmi kwa kila Mwananchi aliyeguswa ili kuchangia fedha za kulipa faini hiyo.
Huu umekuwa utaratibu wa Wananchi kuchangia pale wanapohitajika kufanya hivyo.

ADVERTISE HERE